HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 May 2009

Kumi na mbil kushiriki Miss IFM may 15

Jumla ya warembo ya kumi na mbili wanatarajia kushiriki katika mashindano ya kumtafuta misss IFM ambayo yatafanyika ijumaa hii tar 15 saa 2 -6 usiku katika ukumbi wa New msasani Club akitanabaisha hayo Mwenyekiti wa kamati hiyo bwana peter sarungi kuwa mshindi wa kwanza wa shindano hilo atapewa shilingi 500000 na atafanya shoping kwenye duka la Mwasu fashion ambalo linamilikiwa na Masoud Kipanya ambao ni moja kati ya wadhamini wa wa shindano hilo na mshindi wa pili atapewa shilingi 350000na kwenda kufanya shoping katika duka la Mwasu fashion na complimentary na mshindi wa tatu 200,000 na washiriki wengine watapata shilingi elfu kumi kila mmoja washiriki hao ni witness Boaz, ,Beatrice lukineto, Diana mhenga ,Fransca Mansiro , Jesca mhagama,Ester gao,Aneth Bryson, Veronica Micky ,YvoneElvira Jacob ,Lafifa Mohaned, arvia Rashid. kutoka kushoto ni Lazaro Lutoteka katibu wa kamati na anayemfuata ni mwenyekiti wa kamati Peter sarungi na joseph Mnembuka mwakilishi wa KP fashion ambao ndiyo wadhamini mashindano hayo. Bwana Peter Sarungi aliendelea kwa kusema warembo wamekuwa chini ya mkufunzi Frolence Josephat Miss kigamboni 2008 na amewahi kushiriki mashindano ya miss temeke mara tatu na kuongeza kuwa IFM imekuwa ikitoa wasanii mbalimbali wakiwemo (Noora,haji, na wasanii wenginee kadhaa wa kadhaa na kuomba watu kujitokeza zaidi kuja kuangalia mashindano hayo ya Urembo . Washiriki wa Miss ifm wakiwa katika picha ya pamoja katika ukumbi wa Break pointuliopo karibu na Club Bilicana jijini dar es salaaam Kutoaka kushoto ni witness Boaz, ,Beatrice lukineto, Diana mhenga ,Fransca Mansiro , Jesca mhagama,Ester gao,Aneth Bryson, Veronica Micky ,YvoneElvira Jacob ,Lafifa Mohaned, arvia Rashid.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers