HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 May 2009

CULTURE AMBASSADOR ASSOCIATION

Asai isiyokuwa ya kiserkali inatarajia kuandaa jukwa la vijana tar 21 mwezi wa tano mwaka 20009 ikwa ni katika maadhimo ya utamaduni jukwaa hili litawaleta pamoja vijana zaidi ya 150 akizungumzia kuhusu tamasha Mohamed Gharibu amesema vijna hao watakuwa sehemu mbalimbali ikiwemo shule za msingi ,sekondari,elimu ya juu na vikundi vya vijana mtaani. Pia kutakuwa na wageni kama mabalozi na wawakilishi wengine kutoka idara na kampuni mbalimbali jukwa hii litafanyika katika ukumbi wa utamaduni wa Russia (RCC) na kauli mbiu itakuwa ni kupambana na mmonyoko wa maadili pia kutakuwa na maonyesho ya ngoma za asili na maonyesho mbalimbali ya kazi na sanaa na maonyesho ya mavazi.

1 comment:

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers