HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 May 2009

HIVI NDIVYO MABOMU YALIVYO HALIBU MAKAZI YA WATU MBAGALA

wapo ambao wanasema bora itokee vita tugawane kila kilicho chetu tujue moja wengi wa watu hao hawajai kuonja radha ya vita kama ungepata bahati ya kukutana na raia yeyote Yule wa nchi zifuatazo kama msumbiji sudan Somalia angola siela leone basi lazima atakwambia kuwa vita sio nzuri achana nchi kama Iraq palestina Chechnya Afghanistan ambapo vitu kama vita wamesha zoea kabisa sio kwa maana ni nzuri kwao bali kwa sababu ya michafuko ya kisiasa nchini mwao hii ni hatari kwa mtanzania wa kawaida na wala huwezi kulinganisha au kutoa mfano wa kusema wananchi wa mnaoishi mbagala mzoee vita kama wakazi wa Kipawa walivyo zoea ndege hivi kuna mahusiono yeyote yale? . mwezi mmoja uliopita wakazi wa mbagala walipatwa na matatizo makubwa katika makazi yao sio kwasababu hawana haki ya kuishi duniani au kwasababu ya uzembe wa mtu Fulani hapana pengine ni mipango ya Mungu laikini kwa sababu walikuwa karibu na kambi ya jeshi ambapo ya likuwa yameihifaziwa pale kutoka na umuhimu wake wapo watu walioshauri kuwa kambi hiyo kuahamishwa lakini ikaonekana aipendezi kambi hiyo kuhama kwa sababu kubwa za kiusalama zaidi na umaana wa eneo hilo nyeti la jeshi kwani kambi inasababu zake za Kuwepo eneo hilo tuachane na hilo leo hii ukienda kutembelea maeneo mbalimbali ambayo yalikumbana na dhahama utaona ni kwa jinsi gani mabomu yale yalivyoleta madhara unaweza kufikiri kuwa mabomu yale yalikuwa mahsusi kwa kulenga Nyumba za watu kwa jinsi yalivyo haribu Nyumba zile ukienda kuwaliza ilikuweje siku hiyo kila mtu atakueleza la kwake.kwa maana ya kwamba hamna mtu alioyeweza kupata maamuizi ya kuokoa mali wengine wakasema niliona kitu kikikatisha mbele yangu lakini sikujua nini mpaka nilipoona moto ndipo nikatambua kuwa lile ni bomu kwa hakika hali haikuwa nzuri kwani nyumba na mali za watu zilikuwa zimehairibiwa kabisa kwa kiasi kwamba hamna ambazo zingeweza kuokolewa kabisa. Je nani wakulaumiwa pengine jeshi huwa alikaguwi silaha zake kama madereva wa magari ambao hukaguwa gari zao kabla ya kuondoka au mabomu yale yalikuwa yamekaa mda mrefu bila kutumika kwa sababu kubwa yalikuwayanawasha kwa hiyo yakaamua kulipuka yenyewe lakini jambo kubwa kwa sasa limekuwa kuwa kwa serikali kuto kujiandaa na majanga kwa kwani hata Mv Bukoba ilikuwa imepata ajari kwa uzembe wa kujaza abiria kupita kiasi huku watu wakifahamu fika ya kuwa meli hiyo ilikuwa na matatzi ya stability.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers