HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 May 2009

SOFIA PRODUCTION KUFANYA TAMASHA LA FILAMU TANGA

Kampuni ya utengenezaji filamu Nchini Sofia Production inatarajia kufanya tamasha la maonyesho la filamu litakalo julikana kama( Tanzania Open Film Festinal) akielezea kuhusu tamasha la hilo Zahara Mponjika kuwa tamasha hilo la kistoria litafanyika uwanja wa wazi wa tangamano kuanzia juni 1 hadi juni 10 na kuongeza kuwa kutakuwa na maonyesho mbalimbali yakiwemo ya muziki na ngoma asilia. kutoka kushoto pichani ni Abdul Vencha , Issah mussa khamis (cloud) Zavara Mponjika slim hasana Mwanangai ambao ndio waratibu wa tamasha hilo. Zavara aliongeza kuwa lengo kuu hasa la Tamasha hilo limetoa fursa kwa waongozaji ,waigizaji waunda sera ,watafiti,waandishi wa habari wapenzi na wadau wa filamu kutoka sehaemu mbalimbali kujumuika pamaoja kujadili tansia kwa lengo la kutanua wigo wa soko la filamu.vilevile na kutathimini utengezaji wa filamu,kujifunza pamoja na kuzipima filamu zitakazo kuwa zikionyeshwa. Hizi ndizo filamu zitakazo onyeshwa siku hiyo Tone la damu Silent killer Harzad Maangamizi Kamati hiyo inawaomba wa Tanzania kujitokeza kwa wingi kwani kiingilio kitakuwa ni bure.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers