HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 May 2009

KE NAKO it is time WORLD CUP 2010

HIKI NDICHO ANACHOISHUKURU SERIKALI YA TANZANIA Balozi wa afrika kusini nchini Tanzania Mr sindiso G. Mfenyana akiwa anasisitiza jambo katika hafla ya chakula cha Mchana na Editors wa vyombo mbalimbali vya Habari pembeni yake ni Thando Dalamba katibu wa mambo ya siasa katika ubalozi huo wa afrika kusini Kama wewe mtazamaji mzuri wa Dstv basi moja katika ya matangazo ambayo yametengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu na msisi mko wa na hisia za ajabu basi lazima utakubaliana nami kuwa mwanzoni wa tangazo hilo kuna babu mmoja anaanza kwa kusema I have been waitning for soo long time waiting to see kaka baada yeye anayemfuata ni Bibi naye anasema sema I have been waitng to see Ronaldo na wengine wakilejea kauli kama hizo hizo na mtoto anamalizia we have been waitng to see the Champions of Afrika kama umeliona kwa makini tangazo hilo utakubaliana nami kuwa sura za Raia wale zilikuwa zimejaa kumbukumbu nyingi ambazo south Africa ilikuwa imezipitia hasa katika sera za ubaguzi wa rangi ni nchi amabayo imepitia kwenye matatizo mengi . Huu ndio uwanja wa free state utavyokuwa ukionekana utakapokamirika Ndipo Balozi wa Afrika kusini nchini Tanzania Mr Sindiso G.Mfenyana anapokuelezea hali ilivyo nchini afrika kusini ambayo hizi karibu ya itakuwa Mwenyeji wa kombe la mabara na Nchi za IRAQ,BRAZIL, EGYPT, SOUTH AFRICA,USA, SPAIN,ITALY, NA NEW ZEALAND Zitakapo kuja ndani ya afrika kusini kushiriki michuano ambayo ni ya umuhimu kwa nchi mwenyeji kwani ndiyo wakati muafaka kudhihirisha kuwa soka ipo Afrika Kusini chini ya kocha Joel Santana Balozi anaanza kwa kusema kuwa nchi yetu imekuwa rafiki mkubwa wa Tanzania vilevile Tanzania imesaidia mambo mengi sana nchini kwetu kwani wasomi wengi wa nchini kwetu walikuwa wakisoma pale Sokoine university tunasikia raha kwani ukiangalia afrika kusini ilikuwa katika sera kibaguzi lakini Tanzania mkasaidia hilo mpaka tuka pata Rais wetu wa kwanza wa kidemokrasia kwa maana ya kwamba mwanzo wananchi wa Africa kusini hasa wale wenye rangi nyeusi walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura lakini leo hata wale wanaoishi nje ya Africa kusini wanaweza kupiga kura kwa siku maalum. Na huu ndio mbombela stadium Tunafahamu kuwa watu wanakuwa na mashaka na matatizo ya kiusalama hasa mara kwa mara imekuwa ikitokea vitendo vya machafuko hasa ya kiuharifu ukuzingatia hata moja kati ya wanamuziki mahiri nchini ya Lucky Dube alipigwa risasi na majambazi ambapo watu wengi wameanza kuwa na wasiwasi ngoja ni waelezee unajua hapo zamani jela za south Africa zilikuwa zinatoa huduma zote hasa kwa usafi wa hali juu na maisha ya watu yalikuwa duni sana sasa watu wengi hasa vijana ambao walikuwa hawana kazi maalum waliamua wawe wanfanya vurugu hili waende jela ambapo watakuwa wanakula vizuri wanalaa vizuri ndiyo maana vitendo kama hivyo vilikuwa vingi sana lakini sasa imebidi tubadilishe mfumo kwani imekuwa baadhi mambo yaani kuongeza ugumu wa jela hili watu waigope zaidi ndiyo maana leo unakuta kwamba machafuko sio mengi sana kama ilivyokuwa mwanzo. Soccer city stadium Kwa upande mwingine ukisoma baadhi maandishi kwenye kitabu kizuri ambacho kina kichwa kikubwa cha Habari kinachosema KE NAKO yaani it is a time utakutana DR Irvin Khoza Mwenyekiti kamati ya maandalizi ya kombe la dunia 2010 anasema kuwa Africa kusini mwaka 2009 utakuwa ni mwaka wa kukumbwa katika wiki chache tutakuwa tukialika mataifa bingwa balani mwao vilevile na mabingwa wa dunia Italia haikuwahi kuwezekana kwa Africa kusni peter mokaba stadium kundaa michuano mikubwa kama hii wakati huohuo ni nafasi nzuri kwa ulimwengu unaokutazama kwa afrika kusini inaleta moja kati ya vitu vya maana wakati sahihi kuweka mipango ambayo tumeifanyia kazi katika mika ya karibuni iliyopita Afrika iko tayari kufungua mikono yake kwa dunia ambayo ina kiu ya kuona kuwa kuna moja kati ya vitu vya kushangilia tunaweza kukuhakikishia kuwa atutakuangusha ana maliza kwa kusema kwa lugha ya kikwao KE NAKO yaani it is time. Unapoanaglia viwanja kama Gree point ,Nelson Mandela Bay ,Durban ,peter mokaba,mbombela, soccer city loftus Versfeld, Ellis Park, Royal Bafokeng,na Free state, ni viwanja ambavyo viko katika ubora wa hari ya hali juu pengine hata katika ardhi za nchi za ulaya amabako kuna onekana kuwa ndiyo kwenye maendeleo zaidi Duni huwenda vikawahakuna . Loftus versfeld stadium Ni moja kati ya mafanikio makubwa mabayo afrika ya kusini imeweza kuyafanya pengine iwe changamoto mkubwa kwetu Tanzania ambayo ndiyo iliyoweza kuwasadia raia hawa wa afrika kusini hadi wanafikia katika hatua waliyo fika sasa ni jambo la kujivuni kwani hata miundo mbinu ya nchi hiyo ipo katika ubora wa hari ya juu sana . Afrika kusini ambayo inachagizwa na ushindi mkubwa waliopata katika mashindano ya rugby iliyo kuwa ikiongozwa na john wiliam smit aliyezaliwa mwaka 1978/tar 3 katika jiji la polokwane anaye chezea na fasi ya hooker/prop kwani ilikuwa ndoto kwa afrika kusini kushinda kombe hilo lakinin ilwezekana ndani ya ardhi ya ufaransa hata leo hii kuonyesha kuwa afrika kusini inaweza kwani inaanda ligi kuu ya india Royal Bafokeng stadium Nelson Mandela bay Kwa jinsi hii inawezekana mambo yaliyo fanywa mwaka 1966 katika dimba la wembley kurjea katika ardhi ya Corea kusini mwaka 2002 lakini hilo ni jukumu la Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Bafanabafana Joel Santana ana kazi kubwa yakufunika kazi kubwa ambayo ilifanywa na Clive Barker`s ambaye bado yupo katika benchi hadi leo hii na ukimsikliza nahodha wa timu ya taifa ya afrika kusini Aaron Mokena ambaye ni mchezji wa Blackburn rovers anasema atuwezi kuwambia mashabiki wetu kuwa tutashinda kombe la duni lakini tutafanya vizuri unajua ni moja kati ya tukio la aina yake ambalo siwezi kulieleza kwa maneno Mwisho Balozi Sindiso mfenyana anasema lengo letu ni kuleta urafiki siwezi kukwambia kama tutashinda lakini tunachotaka kwamba kikombe kibaki afrika hili iwe heshima kwa bara zima la Afrika.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers