HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 May 2009

PILI PILI ENTERTAIMENT YALETA ZAWADI KWA WASANII WA BONGO

Ukiangilia ubunifu uliotumika kutengeneza video za wasanii mbalimbali ambazo zimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu utakubali kwamba kampuni ya pilipili Entertainment imedhamilia kuleta ubora katika fani ya muziki wa Tanzania katika na kuupeleka sayari nyingine kwani ubora wanaonyesha ni dhahiri kuwa sasa itakiuwa rahisi zaidi kwa wanamuzi wa kitanzania kupeleka video kwenye runinga kubwa za kimataifa moja kati video mabazo nilipata kushuhudia ni nyimbo ya Baby Madah na Feisal ismail ambapo ukiangilia production nzima japokuwa zimefanyikia india lakini zina ubora wa kimataifa akizungumzia jinsi kampunin hiyo inavyofanya kazi zake mwenyekiti wa kampuni hiyo Bwana Nilesh Bhati tena ni ubora wa hali ya juu vile vile ukiangalia zaidi utagundua kuwa kuna kujenga mahusiano mapya kati ya jamii ya kihindi na kiafrica ambayo kwamba kuondoa dhana potofu kuwa ni vigumu kwa mtanzania kuona muhundi au ni vigumu muhindi kuoa mtanzania kitu ambacho kinawezekana moja katika ya vitu unavyoweza kuona ni ufundi ambao umeonyeshwa zaidi katika utengenezaji wa video hizo. Kutoka kulia ni mwenyekiti wa pilipili entetainment Mr Nilesh Bhati anayemfuata ni managin director mr Sameer Srivastava na wa mwisho ni Simbiso Machine afisa uhusiano wa wa kampuni hiyo walipokuwa wakielezea jinsi kampuni ya inavyofanya kazi katika ukumbi wa idara habari maelezo Mwenyekiti wa pilipili akisisitiza jambo alipokuwa akifanya mkutano na wandishi wa habari hii leo Japokuwa nyimbo hizo ziliimbwa Tanzania na kufanyiwa post production nchini yaani maandalizi ya mwisho kitu ambacho kinashindikana kwa Tanzania bado hatuna miji ambayo imekaa kwa mipango zaidi.ndiyo maana shooting zikafinyika india akizungumzia kazi zilizofanywa na Baby Madah na Feisal kuwa wana mkataba wa miaka miwili na albamu zao zitazinduliwa katika hotel ya kempinski na mgeni rasmi katika sherehe hizo atakuwa ni Waziri wa viwanda na biashara mheshimiwa Dr mary Nagu. Nilesh Bhat mwenyekiti wa pilipili entertainment akionyesha album mbili ambazo kampuni yake ya pilipili imetengeneza ambazo ya Baby Madah na Feisal ismail. Baada ya uzinduzi huo wasanii watafanya show nchi nzima kwenye mikoa mbalimbali kama Arusha, Mwanza ,na Dar es salaam na kuongeza kuwa albamu hizo zimetengenezwa na Pancho latino na wasanii wengine kama chidi benz,Nura ,Mr Blue ,na Feri kano na wateja watakao nunua cd ya video orijino watapa zawadi mbalimbali kama tshirts na vitu mbalimbali chini ya udhamini wa Shoprite,Lesso na cha jil jil .lengo kuu la kampuni hiyo ni kutoa elimu na burudani kwa watanzania.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers