4 May 2009

PACQUIAO(PHINES) ALIVYOMKUNG`UTA RICKY HATON(UK)

Hapo chini wakaionyesha ngumi baada ya kupima uzito Balaa likaanza hapo chini ricky haton anakula ngumi mbaya uwezi kuona kwa upande huu Sasa angalia hii PAC MAN pacquiao anavyokandamiza pua ya haton uzito wa ngumi hiyo kama unamazoezi ni sawasawa na kurushiwa kiroba cha sembe kilo hamsini oooh kazi imekwisha pac man kammaliza hatonna ndiye huyo aliyelala chini PAC MAN anashangilia ushindi Picha kwa hisani ya website ya BBCSPORT.

No comments:

Post a Comment