HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 June 2009

SAID KENGELE ANAPOKUJA KATIBU MKUU CHABADA ANAPOKUJA BA MASHINDANO YA BAISKELI

Kampini ya AFRITEA AND COFFEE LTD ikishirikiana na Rustam brother imeandaa mbio za baiskel zenye umbali metr 70 zitazofanyika tarehe 7/72009 mgeni rasmi atakuwa mbunge wa jimbo la Temeke Mh Abas Zuber Mtenvu. Lengo la mboi hizo ni kusherekea sikukuu ya saba saba.mbio hizo zitaana katika ofisi ya Mtendaji kata ya sandal kuelekea barabara Dr Omari Juma Kwnda Maguruwe hadi Daraja la kwa shukulu kilakala na kurudi hadi kuelekea mtaa wa kwa yombo na kulekea kwa sokota ,kwenda polisi changombe hadi keko DDC barabara ya Mbozi hadi selemani veterinary hadi kata ya sandari mizunguko ili kukamilisha mizunguko mitano/5/sawa na km 70
SAID KENGELE KATIBU MKUU CHABADA
Vilevile zawadi nono zitatolewa kwa mshindi wa kwanza ambaye atamliza mizunguko mitano vilevile washiriki watatoka wilaya ya temeke uthibitisho toka kwa Mwenyekiti wa mtaa vilevile washirik wanaaswa kuvaa Kofia na Helmet Zawadi 1 ,tsh 300,000 2,tsh200,00 3tsh100,000 4-10,tsh @tsh50,000 Watakao maliza watapata kifuta kijasho cha tsh10,000

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers