HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

28 July 2009

IMETOKEA LEO HII JIJINI DAR ES SAALAM PALE FERI MELI YA MV PEMBA MALI YA AZAM MARINE.

Huu ni moto ambao unawaka kwenye meli hii ya Mv Pemba kwani kadri muda ulivyosizidi kwenda ndivyo mto ulivyozidi kuwaka kutokana muda ambao ilkuwa ukituma kwani maji yalipokuwa yakiisha ilalazimika kujazwa gari tena kwani kutokana na gari kuwa gari nyingine ilikuwa haina uwezo kubeba gari nyingine kwa kuwa Mv Pemba ingeshindwa kuhimili mzigo. Moja kati ya wafanya kazi amabao walikuwa wakifanya kazi ya ziada wakizima moto huo kama unavyoweza kuona kwenye picha.
Wafanya kazi wa kivuko ,Jeshi la polisi wakiwa katika mchakato mzima wa kufanisha shughuri nzima ya kuzima moto vilevile kuimalisha Ulinzi
Usishangae kuona mpira wa maji ukiwa umeshikwa na watu wawili kwani mpira ni mzito ukiwa na maji na unapresha ya hali juu na unahitaji nguvu.
naam hivi ndivyo inavyonekana ulinzi na wafayakazi wakiwa wanashughulika taratibu za uzimaji moto

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers