HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

28 July 2009

MELI YA MV PEMBA ILIVYOKUWA INATEKETEA KWA MOTO LEO HII ASUBUHI KUANZIA SAA 4

MELI HII YA MV YA MV PEMBA AMBAYO NI MELI YA MIZIGO ILIKUWA IKIUNGUA MOTO LEO KUANZIA MAJIRA YA SAA NNE ASUBUHI FERI JIJINI DAR ES SALAAM ILIPOKUWA KATIKA MATENGENEZO
Wafanya kazi wa gari ya zimamoto wakiwa katika eneo la tukio wakijaribu kuzima moto ambao ulikuwa ukiteketeza MV Pemba ambayo ilikuwa katika matengenezo inasemekana chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme ambayo ilitokea wakati mafundi welding wakifanya kazi ya utengenezaji wa meli hiyo. Huuu ni moto amabo unawaka juu ya meli lakini moto huo ulikuwa ukitokea ndani ya Meli hiyo ya MV Pemba ambayo ni meli ya mizigo Kama unavyoniona hapa nikiwa karibu na meli hii nikishuhudia moto ambao ulikuwa ukiwaka na kwa kasi ya kubwa zaidi
Hapa nikiwa na baadhi ya waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali tulipokuwa tukielekea kwenye eneo la tukio tukiwa na ya Mv Alina ambayo kwa leo iliacha shughuli zake za kusafilisha abiria kwa muda ilikusaidia shughuli za uzima maji moto.
Moja kati ya wafanyakazi ambayo anajaribu kufanya kazi awezavyo ilikuhakikisha kuwa moto huo hausambai tena kwani ukizingatia moto huo ulikuwa ukitokea ndani ya meli hiyo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers