8 July 2009

JAMANI KUNYWENI MAZIWA KWA AFYA

Hapa ndipo maziwa yanapotengenezwa yakiwa katika hatua ya mwisho unazoona hapo ni mashine ambazo hufunga vifuniko mambo haya yanafanyika katika kiwanda cha Asas Diaries milk kilichopo iringa

No comments:

Post a Comment