8 July 2009

Michezo ni Furaha

Mtangazaji wa shirika la utangazaji TBC1 joseph Msami akifunga kamba za viatu katika moja ya mechi ambazo zilipigwa mwishoni mwa mwaka jana katika chuo cha uandishi wa habari DSJ kati ya wanafunzi wa chuo hicho na walimu

No comments:

Post a Comment