Klabu ya Chango`mbe Boys inatarajia kufungua tawi la veteran na vijana Tamasha Maalum litakalo fanyika viwanja vya SIGARA ambalo litashirikisha timu za veteran ba vijana ambalo litaanza majira ya saa nne na kumalizika saa kumi na mbili timu za mpira wa kikapu za UMISETA kanda ya Dar es salaaam pia zitakuwepo kama timu walikwa na mgeni Rasmi atakuwa kanali mstaafu IDDY KIPINGU.
Kushoto ni Josiah Malekam afisa mkurugenzi wa wa uhusiano wa chango`mbe wa chango`mbe united na anayefuta ni Adam Gwao Mkurugenzi wa Mipango
Safi sana Adam, endeleza bidii uliyoanza nayo kwenye TAVA.
ReplyDeletewww.tanzaniasports.com