HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 July 2009

MaKuYa(Makonde, Kuwa, Yao)

Kutoka kulia ni Afisa habri wa ubalozi wa Uswis Nchini Tanzania Chiku Lweno anayemfuata ni Philipo lulale kaimu mkurugenizi anayemfuata Douglas McFalls na wa mwisho ni Clara Ruhara afisa mipango wa ubalozi wa Finland.
ni moja kati ya maonyesho ya makabila ya kusini mwa tanzania amabayo yanaeleza mila na tamaduni asilia za makabila hayo ambapo mambo kemkem yataonekana kunzia tar 14 hadi jumamosi ya 16 mwezi wa nane ambapo mambo kekem yahuso makabila ya kusini yataonekana ikiwemo vitu vya asili ngoma watanzania wanakaribshwa katika maenyesho hayo ambayo yanafanika katika ukumbi wa Aliance Francaise

Moja kati ya vitu ambavyo unaweza kujionea ni kaptula ya magome ya miti ambayo imetengenezwa kwa mfumo wa aina yake

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers