HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 July 2009

WEWE NDIO HAUNA MPINZANI NJOO ZANZIBAR KWANZA! ! !

Kutoka klia ni Tamim Awadh ambaye ndiye aliyesema kuwa Hamna mpinzani na anye mfuata ni shomari kimbau promoters wa mchezo wa ngumi tanzania na huyo anayeonakama anasari ni ndiye mbabe wa masumbwi kutoka zenji ASHRAF SULEIMAN
Wiki chache zilizopita bondia awadh tamimu alisema kwamba hana mpinzani na kuamua kujivua mikanda yake sababu kubwa ikiwa yeye ajawahi pigwa na bondia mwingine yeyote hapa Tanzania na Afrika mashariki sasa amepata mwamba kwani Ashraf Suleiman Kutoka zanzibar amesema awdh tamimu hawezi kusema kuwa hana mpinzani kwa maana hiyo Ashraf Suleiman Ndiye atakaye atakayecheza na Awadh Tamim ilikumpata bingwa wa tanzania ambaye atapambana na Bondia wa Zambia Joseph Chingangu kwani rais wa (ABU) African Boxing Union Huesin Houchi Tayari ametoa baraka zote kwa pambano hilo kufanyika na litafanyika jumamosi ya tarehe 18 july 2009 katika ukumbi wa DDC Mlimani Park,Mwenge Karibu ya soko kuu la Mlimani city.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers