HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 July 2009

ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU

Mariamu omary kilindo mwenye umri wa miaka thelathini nne ambaye ni mwenyeji wa Maenge mkoani Morogoro na amewahi kulazwa hospital ya Taifa muhimbili mara tano anaomba msaada wa hali na mali ilikufanikisha matibabu ya mwanawe ALOYCE DENIS mwenye umri wa miaka miwili ambaye anasumbuliwa na tatizo ya moyo wenye tobo ambapo hufanya damu kuto kaktika moyo na kuharibu mpangilio wa upumuaji akitoa maelezo Bi mariamu Omary amesema matatizo hayo yamemuanza mwanae tangu alipozaliwa mpaka sasa mara ya kwanza alilazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Morogoro na baadae kuhamishiwa hospitali ya Taifa ya muhimbili baada ya kuletwa na Ambulance akitokea Morogoro .
ambapo alilazwa kwa takriban miezi miwili mpaka sita kutoka na na ugonjwa pindi apatapo maumivu makali vilevile aliambiwa afuatilie faili lake ambalo litamsaidia kupata passport lakini amefuatilia mwezi wa sita sasa bila mafanikio ya aina yoyote kwa kisingizio cha mafaili yako mengi aliambiwa kuwa ugonjwa huo hauwezi kutibika mpaka aende KCMC moshi ambapo zinahitaji milioni mblili Au kwa matibabu ya uhakika aende India kutokakana na hali halisi ya mama huyo ambaye anaishi mbagara kwa msasada wa rafiki mama said amesema kuwa hana uwezo wa kiasi cha pesa kinachotakiwa hivyo anaomba wasamalia wema kujitolea kumchangia kwenye akaunti
Acces Bank 03211003945-46 Au awasiliane nae kupitia nambari ya simu ya mkononi 0718 594917 au nambari ya Rafiki yake 0784 992602 Bi mariamu amesema mume wake anaye fahamima kwa jina la Denis Ngaranga yupo Morogoro kwa sasa akitafuta pesa kwa ni hajalima kwa sababu amekuwa akiangaikanae miaka miwili sasa.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers