HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 July 2009

MSIWE NA HOFU UGONJWA TUMEUDHIBITI

Naibu waziri wa afya Aisha Kigoda akifanunua jambo kati maelezo aliyatoa kuhusu ugojwa wa mafua ya nguruweSWINE INFLUENZA/FLU NCHINI
Wizara ya Afya inapenda kuwahakikishia wananchi kuwa hadi sasa hakuna maambukizi mengine yaliyotokea hapa nchini; hata hivyo wizara inapenda kutoa tahadhari kwa wananchini juu ya umuhimu wa kufuata kanuni za afya vilevile kujinga unapopiga chafya na kutoa taarifa haraka kwenye kituo chochote cha afya mara wanapoona dalili z augonjwa huu.kutanabaisha wazi kuwa Dalili hizo ni homa ya ghafla, kuumwa kichwa, Maumivu ya viungo,maumivu ya misuli na uchovu wa mwili,kikohozi mafua,maumivu ya koo,kichefuchefu,kusikia baridi na mwili kutetemeka,kukosa hamu ya kula, Tahadhari zifuatazo utaweza kujikinga na ugonjwa huo kujiuza kwa kitambaa au tissue au mikono wakati unapopiga chafya. Kunawa mikono vizuri kwa sabuni na maji mara kwa mara

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers