Wizara ya Afya inapenda kuwahakikishia wananchi kuwa hadi sasa hakuna maambukizi mengine yaliyotokea hapa nchini; hata hivyo wizara inapenda kutoa tahadhari kwa wananchini juu ya umuhimu wa kufuata kanuni za afya vilevile kujinga unapopiga chafya na kutoa taarifa haraka kwenye kituo chochote cha afya mara wanapoona dalili z augonjwa huu.kutanabaisha wazi kuwa Dalili hizo ni homa ya ghafla, kuumwa kichwa, Maumivu ya viungo,maumivu ya misuli na uchovu wa mwili,kikohozi mafua,maumivu ya koo,kichefuchefu,kusikia baridi na mwili kutetemeka,kukosa hamu ya kula,
Tahadhari zifuatazo utaweza kujikinga na ugonjwa huo kujiuza kwa kitambaa au tissue au mikono wakati unapopiga chafya.
Kunawa mikono vizuri kwa sabuni na maji mara kwa mara
No comments:
Post a Comment