MTAARAMU WA KUKATA MAJANI KWENYE MTI TENA KWA STAREHE
Mdau wetu anakata nyasi kwenye mti tena kwa starehe zake akitumia jukwaa asilia na mkasi wa kisasa tena amekunja nne anautengeneza unakuwa wa duara akimaliza kukata nitakuonyesha utakavyokuwa ila hiyo ni kesho kakakaaa
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment