15 July 2009

Rais Kikwete alipokutana na Madaktari wa Mewata

Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Mh Dk Jakaya Mrisho kikwete akipokea maelezo mafupi jinsi MEWATA inavyofanya kazi alipotembelea leo hii katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa hotel ya Kunduchi Wet`n`Wild Leo

No comments:

Post a Comment