15 July 2009

USIKU WA KANGA DODOMA

Kutoka kulia ni peter mwenda pole anaye mfuta ni Ni mbunifu wa mavazi ya kitamaduni Asia idarou na wa mwishO ni Gymkana Hilali
walpokuwa wakizungumizia onysho lamavazi ya kiutamaduni amabpo onyesho lake litafanyika MKONI DODOMA tarehe kumi nasaba/7/2009
ndani ya ukumbi wa kilimani kwani wiki moja iliyopita aliinda mashindno ya mavazi ya wabunge chin i ya kampini yake ya ASIA IDAROUS FABAK FASHION
kesho kutwa kampini hiyo itashirikiana na SHARON FASHION DODOMA.

No comments:

Post a Comment