1 July 2009

Tamasha la sanaa Algeria

Mwanandale mwanyekwa mwanamitindo wa sanaa ya kuchonga vinyago na kutengeneza udongo mfinyazi akiwa amepozi tayari kwa safari kwenda algeria vilevile unaweza kutembelea blogg yake ,www.mwanandale.blogspot.com Balozi wa Algeria Nchini Tanzania Abdelnounaa`m Ahriz Akiwa amembeba coletha bedenedict tayari katika msafara kwenda nchini algeria kushiriki Tamasha la sanaa litakalo fanyika kuanzia tarehe 3 mwezi huu hadi 12

No comments:

Post a Comment