15 July 2009

TUTAFUNDISHA KWASABABU TUNATAKA KAZI! ! !

Mnamo tar 4 serika ili wahamisha wafanyakazi 79 kutoka baraza la mtihani(NECTA)na kutoa maelezo kuwa uhamisho unalenga umuhimu wa kazi za watumishi wanaoamishwa kwa sheria namba 8ys mesks ikisomwa pamoja na sheria namba 18 ya mwaka 2007.
Everest Mwalongo mwekenyekiti kaimu mwenyekiti kamati ya utendaji( RAAWU)Kanda ya kaskazini pembeni yake ni Gabiriel ndazi Mwekiti( RAAWU) akizumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara habari maelezo.
kuhusu uhamisho wa walimu 79 ambao wanadhani uhamisho wao haukuwa wa kwa halali na kusisitiza kuwa wangependa kujua baadhi ya watumishi wenzao walio kuwa walimu miaka ishirini iliyopita kufundisha wakati hawakuwa darasani miaka yote kwa wakihoji kuwa kuna tija gani itapatikana kutoka kwa walimu hao amabao si ajabu wapo nyuma kitaaluma kwa kutofanya kazi muda wote walipokuwa baraza la mtihani .

No comments:

Post a Comment