HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

28 August 2009

HIVI NDIVYO ALIVYOUMIA EDUARDO DA SILVA

Mpenzi msomaji hakika uliwahi kusikia taarifa ya kuumia kwa mshambuliaji wa arsena raia wa crotia mzaliwa brazil ambayea liumia baada ya kufanyiwa na mchezaji wa birgmingham Taylor Angalia mguu wa kushoto kwenye picha hiyohapo juuu waweza kuhisi maumivu aliyoyapata mchezaji mchezaji huyo anataka kushitakiwa kisa wanasema kajiangusha nadhani wamesahau penalty ya Ryan babel alivyo fanya dhidi ya arsenal kwenye klabu bingwa barani ulaya

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers