HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 April 2010

Omar al Bashir atangazwa kuwa rais Sudan!!

Matokeo ya kwanza kufuatia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi katika kipindi cha miaka 24 yanatazamiwa kutangazwa leo nchini Sudan. wandishi wa BBC mjini Khartoum anasema Rais Omar al Bashir anatazamiwa kutangazwa mshindi. Salva Kiir, aliyekuwa kiongozi wa waasi wa kusini, SPLM, ametangazwa mshindi, kama rais wa serikali ya kusini, ambayo kwa kiasi fulani ina madaraka ya uongozi. Uchaguzi katika sehemu zote ulikuwa na malalamiko mengi ya udanganyifu, na pia vitisho kwa wagombea, huku wasimamizi wa kimataifa nao wakisema kwamba viwango vya uchaguzi huo kamwe havikubaliki. http://www.bbcswahili.com/

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers