HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 August 2013

WENGER:HENRY ANAWEZA SEMA ASEMACHO NIA YA KUMNUNUA SUAREZ IPO PALE PALE

Arsene Wenger anasisitiza ya kuwa ajakatamaa na matumaini ya kumnunua  Luis Suarez Japokuwa Mmiliki wa  Liverpool  John W Henry ameonyesha wazi nia za kukatisha tamaa za kutaka kutokumuuza mshambuliaji kwa klabu ya  Arsenal.

Washika Bunduki wameshindwa Baada ya kutoa pauni  £40million na pauni moja kwa ajiri ya Suarez – ambaye amelazimishwa kufanya mazoezi peke yake  – Huku Liverpool ikikataa kabisa kuwepo kwa makubaliano kati yake na mchezaji huyo kuhusu uhamisho wake kimkataba .Wenger alikutana na maswali pale timu yake ilipotua  Helsinki mchana wa leo itakapocheza na jumamaosi dhidi ya   Manchester City.
Controversial: Luis Suarez's bid to leave Liverpool has dominated the summer

Vipi kuhusu kauli ya Henry’s utaachana na jitihada zako za kutaka kumnunua  Suarez, kocha wa  Arsenal Anasema : ‘Hapana kwa sababau tuko katikatika ya Dirisha la usajiri na tunataka kuboresha kikosi chetu .
‘Sijasoma hayo maelezo yake ambayo sijui kama yatafanikiwa au hayatafanikiwa .Tutakuwaamnifu kama vile tunavyofanya siku zote .
‘Sina cha kuongea kuhusu swala la usajiri wa  Suarez. Kama itafanyika ,itafanyika katika njia sahihi ambayo Liverpool inataka .

‘kufanya uhamisho kunahitaji makubaliano kati ya sehemu kuu tatu  – Mchezaji,Muuzaji na Mnunua .Tunajua tunachotaka kufanya.
‘Liverpool kwa sasa hawajakubali .kama wamebadilika au kuto badilika katika kimtazamo bado tunaheshimu hilo . Tunaheshimu sana.
‘Suarez ni moja kati ya watu tunaowataka. Kama hauzwi hauzwi tunahitaji kukubaliana na hilo .’
Transfer tussle: Liverpool remain adamant the frontman will not be allowed to leave
No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers