HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 June 2010

JOSÉ LEANDRO ANDRADE

Full Name: José Leandro Andrade Date of Birth: Wednesday, 20 November 1901 Place of Birth: Salto, Uruguay Date of Death: Saturday, 5 October 1957 Position: Midfield
José Andrade alikuwa moja kati ya mastaa wa kubwa katika timu ya taifa ya uruguay timu ambayo iliweza kutamba katika soka miaka ya 1920  na alikuwa mcxhezaji wa kwanza  mewusi kucheza kufanikiwa kucheza soka ya kimataifa  alifuraia maisha yake soka katika ngazi vilabu bora  nchini uruguay  lakini mafanikio makubwa yalikuwa katika timu ya taifa.  maisha ya Andrade katika ngazi ya klabu yalianza mwaka 1920 akiwa na club ya bela  Vista na mwaka 1923 alikuwa moja kati ya wachezqji wa uruguay  katika kikosi kilichoshinda michuano ya copa amrrica  ushindi huo  ulifwatiwa  medali ya dhahabu  1924 katika michezo ya olimpics uliyochezwa huko paris ufaransa  mwaka 1924  Andrade alihamia  katika klabu ya nacional ya hukohuko  ikiwa ni moja kati ya vilabu vikubwa nchini uruaguay alicheza mechi mia moja katika ligi kuu ya nchi hiyo Mafanikio zaidi yalikuwa mwaka 1926 akishinda tena kikombe cha Copa America na wakawa washindi wa pili mwaka uliofuata Andrade alishinda medalai yake ya pili ya dhahabu  mwaka uliofuata wakiwashinda mahasimu wao wakubwa Argentina hoku amsterdan uholanzi 1928 uruaguay baada ya kuonyesha uwezo mkubwa ikapata nafasi ya kwanza kuandaa michuano ya kombe la dunia mwaka 1930 mwaka 1930 ndio yalikuwa mafanikio ya mwisho kwa kwake katika soka ya kimatifa baada ya uruaguay kutoka nyumba marambili kuishinda Argentina kwa mabao manne kwa mawili ambapo ndipo uluipokuwa mwsho wa andrade kuaonkana kiwanjani kuchezea nchini ya ,baadae alistahafu kucheza soka ya kimataifa klabu nyingine ambazo andade amewahikucheza ni Peñarol argentinos juiniors alistaafu soka mwaka 1936 ,Alikufa mwaka 1957 akiwa na miaka 55
VILABU ALIVYOCHEZA   Bella Vista (URU) Mwaka: 1920-23 Mechi alizocheza : 71 Goals: 7 (league only) Nacional (URU) Mwaka: 1924-29 Mechi alizocheza: 105 Goals: 4 (league only) Peñarol (URU) Mwaka: 1930-34 Mechi alizocheza : 88 Goals: 3 (league only) Team Honours: Uruguayan League Championship (1): 1932 Wanderers (URU) Mwaka: 1935 Mechi alizocheza : 17 Goals: 0 (league only) Argentinos Juniors (ARG) Mwaka: 1936 Mechi alizocheza: 21 Goals: 0 (league only) INTERNATIONAL CAREER Uruguay Years: 1923-30 Appearances: 33 Goals: 1 Debut: 24/06/1923 v Argentina (A) D 0-0 Last Cap: 30/07/1930 v Argentina (H) W 4-2 Major Championships: Copa América 1923 (URU): Winners (3 games, 0 goals) Copa América 1926 (CHI): Winners (3 games, 0 goals) Copa América 1927 (PER): Runners-Up (3 games, 0 goals) Copa América 1929 (ARG): Third Place (2 games, 0 goals) World Cup 1930 (URU): Winners (4 games, 0 goals) Other Achievements: Olympic Gold Medal (2): 1924, 1928 (not official internationals)

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers