HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 June 2010

SERENGETI KUTIA NGUVU MWANAMCHEZO BORA TASWA

Meneja Mkuu wa Uhusiano na mawasiliano kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Teddy Mapunda akikabidhi mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 35 kwa mwenyekiti wa TASWA Boniface Wambura katika ofisi za shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF leo kulia ni mweka hazina wa TASWA Tom Chilala na kushoto ni Amir Muhando Katibu mkuu msaidizi wa TASWA, Serengeti imeamua kudhamini tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka ambayo hutolewa kila mwaka na chama cha waandishi wa habari za michezo nchini TASWA

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers