HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 October 2012

HAKUNA WASIWASI NA MAJERUHI


Kocha wa Timu ya taifa ya ufaransa  Didier Deschamps amesisitiza kuwa hakuna wasiwasi wowote kuhusu majeruhi kwenye Timu yake huku wakikabiliwa  na mechi ya kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia 2014 Nchini Brazil Dhidi Ya bingwa Mtetezi Uispania  huku mchezaji wa timu hiyo  Mlinzi  Mapou Yanga Mbiwa.Mchezaji wa Anzhi Makhachkala's Lassana Diarra naye ameumia mgongo sasa ataungana na  Rio Mavuba na Abou Diaby katika orodha ya majeruhi na hatokuwemo katika mechi yakirafiki dhidi ya  Japan ijumaa na Uispania  16 October jijini  Madrid.

Diarra sasa nafasi yake itachukuliwa kiungo wa   Paris Saint German  Clement Chantome,  Deschamps anajiamini kuwa timu yake inakila sababu ya kushinda mechi katika kundi I  hakuna wasiwasi kuhusu majeruhi tuna wachezaji wenye historia tofauti na wanauzoefu wa mechi za kimataifa ukimwacha  Yohan [Cabaye].

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers