HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 July 2010

WANANGU CHUKUENI MIAKNDA SASA KAZI KWENI

Baada ya kupigwa kwa pointi na bondi MADA MAUGO bondia RASHID MATUMLA amesema sasa hana mpango wa kuendelea na ngumi tena iliyobaki ni kuwafundisha vijana hasa watoto wake ambao wamejikita katika ngumi. Amesema amekubali amepigwa lakini sheria za ngumi lazima zifuatwe siyo zifanyike kienyeji kama alivyofanya bondia maugo kuchukua grovus zingine na si zilizokuwa zimeandaliwa kwa ajili ya mchezo huo. MATUMLA amesema mikanda yake anawakabidhi watoto wake ili waweze kuendeleza ngumi katika ukoo wake na nchini kwa ujumla. janejonh5 .blogspot.com/ understand

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers