HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 July 2010

NETBALL VP MPO AU MMELALA

Timu Kumi na sita za mchezo wa Pete zinatarajia kushiriki michuano ya klabu bingwa taifa itakayotimua vumbi jijini DSM wiki hii.
Katibu Msaidizi wa chama cha mpira wa pete Tanzania CHANETA, ROSE MKISI amesema mashindano hayo ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya mchezo huo. Aidha CHANETA imezishusha daraja timu ya Uhamiaji ya DSM na Ras ya Mtwara kutokana na kushindwa kutoa taarifa juu ya ushiriki wa michuano hiyo. Michuano hiyo pia aitasaidia kupata wachezaji bora kwa ajili ya kuunda kikosi cha timu ya taifa kinachokabiliwa na mashindano ya kimataifa yakiwemo ya Afrika na Dunia hapo baadaye mwaka huu.. janejohn.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers