HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 September 2010

INAWEZEKANA LAKINI!!!

Ndugu zangu kilakitu kinataka maandalizi kama viwanja vya tenis vingekuwapo kila wilaya nafikiri wakina rafael nadal wangekuwapo wengi sana lakini tatizokubwa kwamba inaonekana kama vyama vimechwa vijishulikie vyenyewe wizara ya michezo inafanya kazi kuhusu micvhezo sio kusimamia sera hizo pesa za kusimamia sera zinakwenda wapi nchi imekosa hata academy za michezo halafu unataka medali hakika kwa mpangilio huo mpaka arudi nabii isssah (yesu)arudi hatutoshiriki,olympic,kombe la dunia. 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers