HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 September 2010

JAMANI MSITULETEE SIASA KATIKA RIADHA.

Katibu mkuu wa chama cha soka cha riadha tanzania suleiman nyambui amesema kitendo cha agrey mareale kuambiwa kuwa sio mmiliki wa mashindano ya kilimanjaro marathon na walikuwa wakimtumia kama mshereshaji sio sahihi kabisa kwa (AT) kisa anatafuta umaarufu katika mambo mengine kitu ambacho suleiman nyambui amepinga kwani mbio hizo bila mareale sizingekuwapo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers