HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 September 2010

KIPINGU AIPA BIG UP STARS

Mwenyekiti wa baraza la michezo tanzania colonel mstaafu iddy omary kipingu amesema ipo haja ya vyama vya chaneta na chaneza kukaa pamoja kwani wameshindwa kuelewana kufikia zanzibar kushindwa kutoa hata mchezaji mmoja katika timu ya taifa taifa queen katika mchezo wa net mashindano yatakayofanyika nchinio afrika kusini na kama wakifanya vizuri timu hiyo itakwenda kombe la dunia aidha ameipa timu ya taifa ya tanzania credit kubwa kushinda mchezo dhi ya algeria utakachzwa leo saa nne usiku.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers