HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 August 2012

33.2 million pounds yafanikisha Modric kwenda Madrid kuvalia jezi na 19

luka modric bye
Kwaherini jamani 
SIKIZA HAPA :LUKA MODRIC 


 Pichani ni Mchezaji wa kimataifa wa Crotia ambaye  ametiasaini ya kandarasi ya kuhudumu Royal Club Madrid yaani Real Madrid  kwa miaka mitano na leo hii amefanyiwa vipimo vya kiafya huko uispania  lakini isingekuwa Xabi Alonso kutokuvaa jezi na 14 basi jezi hiyo ingekuwa ya kijana huyu lakini kwa sasa atavalia jezi namba 19 Aidha mchezaji huyu ajacheza kabisa mechi za msimu huu kwa klabu yake ya zamani ya Totenham  iliyokuwa ikifanya majadiliano ya mwisho na real Madrid na klabu hizo mbili zimekubaliana majadiliano ya muda mrefu zaidi hasa katika kubalishana wachezaji baina ya timu hizo aidha hitimisho hili linakuja  baada ya kukaa muda mrefu huku kukiwa na habari za mwanandinga huyo kutaka kuhamia real madrid kitu ambacho kimefanikiwa leo .

 
 
Lakini kama ilivyokwa wanandinga wengine Modric Anasema kuwa anafurahi sana kujiunga na klabu hiyo na anasijiskia kuwa na heshima kubwa sana anataka kufanya mazoezi na real Madrid na vilevile niitumikie klabu hii ukizungatia ni moja kati ya klabu kubwa dunia nina imani kila mmoja anapenda kucheza hapa kijana huyu anakabiriwa na kibarua kikubwa kikiwemo cha kuisadia timu yake kutetea taji  la la liga dhidi wapinzao wakubwa Barcelona ambao katikati mwa juma lifungwa mabao matatu kwa mawili katika kuwani kombe la Supercopa katika Dimba la Nou Camp .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers