HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 August 2012

BLUE MONDAY Marouane Fellaini DK 57 EVERTON 1-0MAN UTD

 
 Mchezaji wa timu ya soka ya Everton Marouane Fellaini aikiunganisha mpira kwa kichwa katika ligi ya uingereza mechi iliyochezwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Godison Park.



 Furaha kwenda mbele.


 Doh sasa ishakuwa tabu kwanini kila nikirudi kwenye uwanja wangu wa nyumbani lazima nifungwe

 Wachezaji wa Everton wakipongezana baada ya kufanya kazi nzuri .

Huyu ndiye aliyewaua Manchester united( Marouane Fellaini )

Danny welbeck wa manchester united akiomba pernaty baada ya kuzidiwa.

Robin Van Persieeee akiiingia kiwanjani kwenda kuokoa Jahazi baada kuwa nyuma kwa goli moja kwa kipindi kirefu.

 
 Hakika imekuwa siku ya furaha kwao mara baada ya kupata ushindi wa bao moja kwa sifuri.
Mhh sasa nishawatia Gundu hata kurudi nashindwa huu unaweza kuwa mkosi au hii harufu ninayoiskia ndiyo imesababisha nisicheze vizuri.

Hata ngoja nimuige lazima tupate kisingizio nimeletewa partner nahisi kaja na matatizo kutoka alikotoka .
Kocha mkuu wa manchester united akiwa hajua afanye nini mara baada ya timu yake kuwa nyuma kwa bao sifuri kwa kipindi kirefu.

(Duh huyu jamaa naye niliye mnunua sioni hata analofanya kiwanjani) huyu ni kocha wa man u je unafikiri anawaza nini hapo ? 

Baada ya filimbi ya mwisho kumalizika wayne alimfuata kocha wake wa zamani Davidi Moyes akimliwaza baada ya timu yake ya zamani kuifunga timu yake ya sasa.


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers