17 August 2012

DIAMOND JUBILEE KUANDAA SHUGHURI NZITO IDDY PILI



Bondia Sande Kizito wa Uganda kushoto akitunishiana misuri na Ramadhani Shauri wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika siku ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee.
 

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana misuri na Sako Mwaisege 'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao  mbele ya waandishi wa habari pambano la litafanyika katika ukumbi wa Diamod Jubilee
 
 Mkurugenzi wa kitwe General Traders ,Lucas Rutainirwa katika akiwa ameshikilia mkanda wa IBF Africa atakaopewa Bondia atakae ibuka na ushindi katika mpambano  huo, kushoto ni Sande Kizito wa Uganda na Ramadhani Shauri kutoka Tanzania katika picha ya Pamoja na Rais wa shirikisho la Ngumi Afrika IBF Onesmo Ngowi pamaoja na wakufunzi wao.

 

No comments:

Post a Comment