

ilichuka daika nne tu puyor kutumbikiza mpira wavuni kona ya xavi mpira ukatua kichwani mwa puyor naye akamaliza kazi.

Sociedad walikuja juu , Asier Illarramendi alitoa pasi malidadi ya chini ikimpita Dani Alves akimkuta Castro , naye akufanya ajizi aligusa mpira kwa msuli mnene na mpira kugusa nyavu za juu.

Hadi mwisho wa mchezo Tano kwa Moja, hapo ni puyor na fabregas wakishangilia goli.
No comments:
Post a Comment