20 August 2012

Preussen Muenster4-2 Weder Bremen DFB -POkal (FA CUP)

    Matthew Taylor, Preussen Muenster; Sokratis, Werder Bremen; DFB-Pokal 


 Preussen Muenster  imeishangaza  Werder Bremen kwa kuitoa kwenye kombe la Ujerumani   DFB-Pokal, kwa mabao  4-2 katika muda wa nyongeza  Mmarekani  Matt Taylor  aliongoza timu yake kwa kufunga mabao matatu 
Winga wa zamani wa  Juventus Eljera Elia ndiye aliyeanza kutunuku wavu kwa goli lakwanza . Taylor alichukua nafasi ya kuwa mfungaji bora katika mechi hiyo ambaye kwa sasa anamiaka 30 alifunga mara mbili katika kipindi cha pili na hivyo kuufanya mchezo kwenda katika dakika za nyongeza  na bade kufunga jingine na kuipa timu yake ushindi katika kuwania hatua inayofuata ya  kombe hilola , DFB-Pokal.


No comments:

Post a Comment