27 August 2012

HAJI AMIR APEWA MADARAKA ZDFA

Rais wa ZDFA  Amani Ibrahim Makungu akiongea na mwandishi wa K-SPORT.COM Jackson Sekiete huko Unguja

SIKIZA HAPA AMANI IBRAHIM MAKUNGU RAIS ZDFA 

Rais wa ZDFA taifa Amani Ibrahim Makungu amemuachia  makamu wa Rais wa kwanza toka  unguja Haji Amir kukaimu madaraka wakati huu atakapo kuwa nje ya Nchi katika shughuri za kikazi amesema anafanya hivyo kama Katiba ya ZDFA inavyotaka Amani Makungu ambaye ni moja kati ya wafanya biashara Maarufu Amekwenda Nchini Canada  kuweka sawa baadhi ya mambo na atakaporejea atakuwa na jukumu moja la kuhakikisha soka ya  ya kisiwa hicho inakwenda inavyotakiwa aidha Makungu amekuwa mstari wa mbele kuwa wajibisha wale wote ambao wanajaribu kurejesha nyuma  soka la kisiwa hicho nyuma, na amekuwa akiwatolea uvivu viongozi ambayo wanafanya kazi kwa kukosa Uadilifu.


No comments:

Post a Comment