16 August 2012

KUELEKEA IDDY PILI IBF AFRIKA YALETA PAMBANO LA NGUMI


 

 Bondia Sande Kizito katikati aliyevalia jacket Nyeupee, akiwa amewasili katika jiji la Dar es salaam usiku wa leo akitokea Uganda kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauri siku ya Idi pili kushoto ni mwenyeji wake aliyempokea Yasini Abdallah Rais wa shirikisho la ngumi za kulipwa Tanzania TPBO

No comments:

Post a Comment