17 August 2012

VERMAELEN ATHIBITISHWA UNAHODHA ARSENAL



Beki wa kati wa kimataifa wa ubeligi ambaye alikuwa akivaa kitambaa cha unahodha katika mechi ya kujiiandaa na msimu mpya wa ligi wa mwaka huu , amethibitishwa na kocha mkuu wa timu hiyo arsene wenger kuwa ataendelea na wadhifa huo mara baada ya aliye kuwa nahodha wa timu  hiyo  Robin van Persie kuhamia  Manchester United.
 Mikel Arteta  yeye atakuwa nahodha msaidizi wenger amesema kwa sasa ni Vermaelen na Arteta alipokuwa akizungumza mchana wa leo na waaandishi wa habari

"Vermaelen alikuwa nahodha msaidizi  ni mahamuzi ya halaka kidogo  .Nadhani kwa sasa itakuwa hivyo tuna watu wengi wanaoweza kufanya kazi hiyo lakini kwa sasa itabakia kuwa hivyo
.

No comments:

Post a Comment