30 August 2012

MASHINDANO YA PARALYMPICS YAFUNGULIWA RASMI USIKU WA KUAMKIA LEO

 A general view during the Opening Ceremony of the London 2012 Paralympics at the Olympic Stadium




 Mkuu wa michezo ya Paralympics  Lord Coe amesema watu watarajie kushangazwa ,kuvutiwa na kubalidilishwa mawazo wakati  Malkia alipofungua sherehe za Mashindano ya Paralympics  

 Oscar Pistorius


 Oscar Pistorius, Ellie Simmonds and Natalie du Toit Ni moja kati ya mastaa watakao shindana katika mashinadano ya Paralympics yatakayodumu kwa siku 10 katika jiji la london 
SIKIZA HAPA 

No comments:

Post a Comment