29 August 2012

YANGA YAKANUSHA TUHUMA ZA KOCHA SAINT YASEMA MAMBO YA MIKATABA AHAYUNGUMZWI KWENYE VYOMBO VY HABARI

Katibu mkuu wa yanga  Mwesiga celestine akitia saini mkataba na kocha mpya wa timu hiyo Maarufu kama Saintief.
 Katibu mkuu wa yanga  amekanusha taarifa zilizo tolewa na moja kati ya chombo kikubwa cha habari afrika kuwa kocha wao  Tom saintief kuwa kuna baadhi ya mambo hawajamtimizia Mwesigwa amesema kuwa kamwe hawata kiuka neno hata moja ambalo limeandikwa katika mkataba wao na huwa hawaongea mambo ya mikataba katika vyombo vya habari.
SIKIZA HAPA 
Lakini kwa upande mwingine klabu hiyo kuipitia msemaji wao Louis Sendeu imevunja ukimya na kusema beki mahili wa timu hiyo aliyesajiriwa kutoka APR ya Rwanda Mbuyu Twite anawasili kesho saa tisa alasiri.
SIKIZA HAPA

No comments:

Post a Comment