HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 August 2012

MECHI YA UFUNGUZI WA LIGI YA PREMIER YA UINGEREZA NGAO YA HISANI CITY 3-CHELSEA 2 UWANJA VILA PARK

More Silverware For City
 

                                                                            Chelsea
  2 vs 3
Played
August 12, 2012 8:30 AM EDT
Villa Park — Birmingham
Referee:‬ K. Friend‎
Attendance:‬ 36394‎


Roberto Mancini Anaweza kuamini kuwa Man utd inaweza kupewa kipaumbele  chakutwaa ubingwa msimu huu lakini timu yake Man city ilionyesha uwezo mkubwa katika Dimba la Villa Park na iliweza kumiliki karibu kindi chote cha kwanza kabla ya Fernando Toress kufunga goli katika dakika ya 40 ,Yaya Toure ,Carlos Tevez na Samir Nasri walifunga magoli safi kabisa yaliyotosha kuifanya machester city ambao walipata faida baada ya Branislav Ivanovic kuonyesha kadi nyekundu baada ya kumchezaea visivyo   Aleksandar Kolarov katika dakika ya 42 kuibuka na ushindi maridadi kabisa .

Branislav Ivanovic

Ryan Bertrand  alifunga goli dakika ya mwsiho za mchezo lakinicity walionekana kuwa katika siku nzuri zaidi mara tu baada ya taarifa ya kuwa wamekubari kumsajiri  mchezaji wa Everton  Jack Rodwell.
 Carlos Tevez

 Huyo ni Carlos Teves anapofanya kweli ndani ya jiji la Birmingham city.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers