HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 August 2012

YAMETIMIA MBUYU TWITE ATISAINI YANGA TOVUTI YA YANGA YATHIBITISHA

Mbuyu Twite (kushoto) akiweka alama ya dole gumba katika mkataba wake mpya wa kuitumikia timu ya Young Africans wiki mbili zilizopita, kulia kwake ni mjumbe wa kamati ya Utendaji Abdallah Bin Kleb

2012-08-12     12:44:57   

Mlinzi wa kati wa timu ya APR kutoka nchini Rwanda Mbuyu Twite amekamilisha usajili wake ikiwa ni pamoja na kupata uhamisho wa kimataifa ITC na kuweza kujiunga na mabingwa wa kombe la klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kombe la Kagame timu ya Young Africans Sports Club.


Kelvin Yondani akitiasaini yanga




 Klabu ya soka yanga inaonekata kuizidi kete klabu ya soka ya simba ambao ni wapinza wao wakubwa kwa kusajiri wachezaji ambao inaonekana walisajiriwa na simba taarifa hizi ni kwa mujibu wa tovuti ya klabu ya yanga

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers