HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 August 2012

Stephen Kiprotich ASHINDA MARATHON




Stephen Kiprotich leads Wilson Kipsang and Abel Kirui in the marathon

Stephen Kiprotich wa Uganda ameshinda mbio za   Olympic kwa wanaume  huko  London, akiwashinda wakenya    Abel Kirui na Wilson Kipsang.
Kiprotich  alikuwa akiongoza kwa kumaliza km 37 japokuwa alikuwa ameumia kwenye mguu wako na ndiyo Nishani pekee ya dhahabu kwa uganda katika olimpick mwaka huu ambapo alitumia masaa mawili dakika nane sekunde kumi na moja nukta ishirini na sita
  Kirui na Kipsang  walitumia dakika moja zaidi nyuma yake
  Mwingereza Lee Merrien na  Scott Overall walimaliza nyuma ya 
Kipsang na walichukua nafasi mara baada ya Mbrazil   Franck de Almeida's kuongoza mwanzoni hadi alipokuja kuchemka Kiprotich na Kirui na ndipo ilikuwa njia nyeupee kwa watatu hao kushinda Nishani hizo stephen Kiprotich alionekana kupigana kiume japokuwa alikuwa ameumia mguu 
lakini ghafla alioneka kusonga mbele , Stephen alisema "hii ina maana kubwa kuhusu uganda tangu 1972 hatujuawahi kushinda Nishani ya Dhahabu kwa hiyo wanafuraha sana leo"
Uganda' ilipata nishani ya mwisho ya Dhahabu ya mita  400m kuruka Viunzi  wakati huo ilikuwa kwa John Akii-Bua, wakati huo Mashindano yalifanyika  Munich Ujerumani  1972.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers