14 September 2012

BFT YATEUA WAAMUZI WA MASHINDANO YA UBINGWA WA TAIFA 2012


 


 Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) kwa kupitia chama cha  waamuzi wa ngumi za ridhaa wameteua na kuwadhibitisha waamuzi watakao tumika katika mashindano ya ubingwa wa taifa yatakayofanyika kuanzia tarehe 17-22/09/2012 uwanja wa taifa wa ndani.
Waamuzi walioteuliwa ni:-
Mohamed Kasilamatwi mwamuzi wa kimataifa na Juma Selemani mwamuzi wa Afrika kama wasimamizi wa waamuzi.
Waamuzi wa ngazi ya taifa walioteuliwa ni:-
Maneno Omari
Ridhaa Kimweli
Mohamed Bamtulla
Shija Masanja
Mafuru mafuru
Moshi makali
Hamza abdallah  na
Marko Mwankenja.
,MAKORE MASHAGA  (KATIBU BFT)

No comments:

Post a Comment