14 September 2012

WAMAKONDE WAZIDI KUJIKITA KATIKA MAANDALIZI PAMBANO LA MASUMBWI



Mwanandaaji wa mpambano wa Tamasha la masumbwi Mkoa wa Mtwara, Mahmoud Sinani kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya mpambano wa Bondia Mkongwe Rashidi Matumla na Patrick Amote litakalofanyika October 27  katika Ukumbi wa Makonde Beach Resort  kulia ni Rais wa TPBO Yassin Abdallah 

No comments:

Post a Comment