11 September 2012

HIVI NDIVYO WAANDISHI WALIVYOIAMBIA POLISI JINSI WALIVYOKERWA DHIDI YA KITENDO CHA KUMUUA DAUDI MWANGOSI MWANDISHI WA CHANEL TEN IRINGA

Hapa waandishi waliamua kuigiza mbele ya polisi  ni imani yetu kuwa hata wao watakuwa wamesikia uchungu wa aibu kwa kitendo hicho RIP DAUDI MWANGOSI 


SOMA MWENYEWE SINA HAJA YA KUSIMULIA 


 



 Walikuwa wengi, hivi   ndivyo waandishi tunavyoumia katika kukuletea habari wewe msomaji je unaona hari hii usicheke leo Mwandishi Kesho zamu yako.



No comments:

Post a Comment